Music | Lifestyle+Fashion | Antivirus | Love+Relationships | Business+Politics | Sport | TUMA Registrations

You are here:   HomeLifestyle+FashionIda: Picha za X zinanipa mabilioni
| + -

Ida: Picha za X zinanipa mabilioni

Friday, 19 August 2011 05:02 Deiwaka World News - Lifestyle+Fashion
Print PDF

Ida: Picha za X zinanipa mabilioni

Mwanamitindo Mtanzania, Ida Ljungqvist amesema kuwa ataendelea kupiga picha za utupu kwa sababu zinampa utajiri.

 

 

Ida mwenye maskani yake California, Los Angeles, Marekani, amekuwa gumzo kwa miaka kadhaa tangu alipokubali kwa hiari yake mwenyewe kufotolewa picha za ‘eksi’ na kujiingizia mamilioni.

Ida ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 29, alizaliwa na mama Mtanzania na baba Mswidishi Septemba 27, 1981.

Alitisha mwaka 2008 alipofanikiwa kushinda kupiga pozi akiwa mtupu kwenye jarida maarufu la Playboy.