Music | Lifestyle+Fashion | Antivirus | Love+Relationships | Business+Politics | Sport | TUMA Registrations

You are here:   HomeBusiness+PoliticsMama Nyerere amfunda Pinda
| + -

Mama Nyerere amfunda Pinda

Mjane wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Maria Nyerere amemfunda Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuhusu Watanzania.


Mama Nyerere ambaye ni First Lady wa kwanza nchini, alitembelewa na Pinda nyumbani kwake, Butiama, Mara, hivyo kupata fursa ya kumfunda kuhusu Watanzania katika sura ya sasa na kipindi nchi inapata uhuru.

Hata hivyo, haikuelezwa kwa undani ni kipi ambacho Mama Nyerere ambacho alimfahamisha Pinda kuhusu Watanzania.

Pinda, alikuwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Mara ndipo alipopata fursa ya kwenda kupata neno la busara kwa Mama Nyerere.