Music | Lifestyle+Fashion | Antivirus | Love+Relationships | Business+Politics | Sport | TUMA Registrations

You are here:   HomeLove+RelationshipsSylvia Shally ajifungua mtoto wa kiume
| + -

Sylvia Shally ajifungua mtoto wa kiume

Friday, 04 May 2012 04:28 Deiwaka World News - Love+Relationships
Print PDF

Sylvia Shally ajifungua mtoto wa kiume

Miss Ilala 2009/10, Sylvia Shally (pichani) amejifungua mtoto wa kiume Jumapili katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar.

Kwa mujibu wa mnyange huyo, amejifungua salama kwa njia ya kawaida.

“Nimefurahi kupata mtoto wangu wa kwanza,” alisema Sylvia ambaye aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na marehemu Steven Charles Kanumba.

Hata hivyo, Sylvia amegoma kumtaja baba mzazi wa kichanga hicho.