Cuf yatuma rambirambi kifo cha Mafisango
Chama cha Wananchi (Cuf), kimetuma salama za rambirambi kwa uongozi na mashabiki wa Klabu ya Simba kufuatia kifo cha nyota wao, Patrick Mafisango.

Mchezaji huyo wa kutegemewa wa Simba, alifikwa na mauti leo asubuhi kwa ajli ya gari, eneo la Tazara, Dar es Salaam.
Hii ndiyo taarifa yenyewe ya Cuf.
