Music | Lifestyle+Fashion | Antivirus | Love+Relationships | Business+Politics | Sport | TUMA Registrations

You are here:   HomeSportMiyeyusho amchakaza Mmalawi kwa KO
| + -

Miyeyusho amchakaza Mmalawi kwa KO

Monday, 25 June 2012 05:42 Deiwaka World News - Sports News
Print PDF

Miyeyusho amchakaza Mmalawi kwa KO

Bondia Francis Miyeyusho, usiku wa kuamkia jana alilinda heshima ya Tanzania kwa kishindo baada ya kumchakaza bondia kutoka Malawi, John Masamba kwa KO.

Miyeyusho, alimpiga Masamba raundi ya tano katika pambano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Vijana, Kinondoni, Dar es Salaam.